0

Manchester City watafuzu hatua inayofuata kama wataifunga Borussia Monchengladbach Novemba 23

Image captionManchester City watafuzu hatua inayofuata kama wataifunga Borussia Monchengladbach Novemba 23
Klabu bingwa barani ulaya iliendelea tena usiku wa kuamkia leo, ambapo kulikuwa na jumla ya michezo minane.
Manchester City wakiwa nyumbani walilipa kisasi dhidi ya Barcelona kwa kuichakaza magoli 3-1.
Washika bunduki wa london Arsenal waliendelea kudhihirisha ubabe wao mbele ya Ludogorets Razgrad ya Bulgaria kwa ushindi wa 3-2
Ozil ameelezea kufurahiswa na goli lake katika mtandao wa Twitter
Image captionOzil ameelezea kufurahiswa na goli lake katika mtandao wa Twitter
Atletico Madrid wakiwa nyumbani waliibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya FC Rostov.
Bayern Munich ikaifunga PSV Eindhoven 2-1

Matokeo mengine

Basel 1-2 Paris Saint Germain
Besiktas 1-1 SSC Napoli
Benfica1-0 Dynamo Kyiv
Bourussia Moenchengladbach 1-1 Celtic
Manchester City 3-1 Barcelona

Post a Comment

 
Top