Mbunge Wa Kigoma Mjini Na Kiongozi Wa ACT- Wazalendo,
Zitto Kabwe Amewasilisha Rasmi Muswada Wa Sheria Ya Mabadiliko Ya 15 Ya Katiba Ya
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Kuhusu Mafuta Na Gesi Ya Zanzibar. Zitto Akiongea
Na Millardayo.Com & Ayo TV Alisema>>‘Nimewasilisha Muswada Wa
Mabadiliko Ya 15 Kwa Ajili Ya Kuondoa Jambo La Muungano Kuhusu Mafuta Na Gesi
Kuliondoa Kabisa Katika Katiba Ya Tanzania Kwasababu Tayari Sheria Ya Mafuta Na
Gesi Ya Tanzania Bara Limetamka Wazi Kwamba Zanzibar Wanaweza Wakaanza Kutafuta
Mafuta Na Gesi’ Unaweza Ukabonyeza Play Kumsikiliza Zitto Kabwe Kuhusu
Alivyowasilisha Muswada Mafuta, Gesi Ya Zanzibar
Mbunge wa Kigoma mjini na Kiongozi wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe amewasilisha rasmi muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya 15 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu mafuta na gesi ya Zanzibar.
Zitto akiongea na millardayo.com & Ayo TV alisema>>‘Nimewasilisha muswada wa mabadiliko ya 15 kwa ajili ya kuondoa jambo la Muungano kuhusu Mafuta na gesi kuliondoa kabisa katika katiba ya Tanzania kwasababu tayari sheria ya Mafuta na Gesi ya Tanzania bara limetamka wazi kwamba Zanzibar wanaweza wakaanza kutafuta mafuta na Gesi
Post a Comment